Hakuna kulala vyuma vinaingia ofisini kuanza kazi mala moja

HAKUNA KULALA, VYUMA VINAINGIA OFISINI KUANZA KAZI MARA MOJA

Ni mapokezi makubwa ya Wajumbe wa Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa mara baada ya kupitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Kikao chake maalum kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan.

Hakuna kupoa wala kula bata, ni mwendo wa kazi katika kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa maslah mapana ya Watanzania wote.

Walituamini nasi tutaendelea kuchapa kazi kwaajili yao – Hii ndio kauli halisi tunayoishi nayo CCM.

Tukutane Kesho tarehe 5 Aprili, 2024 katika Ofisi ndogo za CCM – Lumumba Jijini Dar es salaam, Saa 3:00 Asubuhi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button