Hospital Kubwa India Kuzindua Kituo Tanzania.

Hospitali kubwa ya India, Kokilaben Dhirubhai Ambani inatarajja kuzindua kituo chake cha ushirikiano nchini Tanzania, kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa.

Uzinduzi wa huduma hizo adimu za Quaternary utafanyika Jumamosi Oktoba 28 jjini Dar es Salaam.

Huku mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mhe. @ummymwalimu.

Huduma za Quaternary ni matibabu maalum na ya kiwango cha juu ambayo mara nyingi ni nadra kupatikana kwenye hospitali za kawaida na hivyo wagonjwa wengi hulazimika kuyafuata nje ya nchi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button