Wanaume Hukaa Chooni Kwa Masaa 7 Kupata Utulivu.

Wanaume Hukaa Chooni Kwa Masaa 7 Kupata Utulivu.

Utafiti uliofanywa na kampuni ya PebbleGrey umebaini kuwa wanaume wengi hutumia
takriban saa saba kila mwaka wakijitenga chooni au bafuni kutafuta utulivu.

Kwa mujibu wa utafiti huo uliowahusisha wanaume 1,000, choo au bafu huwa mahali pa kujificha na kupumzika mbali na pilikapilika za maisha ya kila siku ya kifamilia

Wengi wao hutumia muda huo kuepuka kazi za nyumbani, kuepuka usumbufu, na kupata muda mfupi wa kupumua kabla ya kurejea kwenye shughuli za kila siku.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button