Tanzania Sio Miongoni Mwa Nchi Zilizowekewa Kikwazo Kuingia Marekani.
Tanzania Sio Miongoni mwa Nchi Zilizowekewa Kikwazo Kuingia Marekani.
Serikali ya Trump inaripotiwa kupiga marufuku na kuweka kikwazo kuingia nchini kwako, huku vikwazo hivyi vinalenga raia kutoka nchi 41
Nchi hizo zitagawanywa katika makundi matatu: Nyekundu, machungwa, na Njano,
• Nyekundu: Kuzuia kabisa raia wake kusafri kwenda Marekani
Machungwa: Vikwazo vikubwa vya visa, hasa kwa wasafiri wa utalii na wanafunzi
‣ Njano: kuwekewa kikwazo cha kusubiri walau siku 60 kwa nchi husika kutimiza masharti ya usalama wa Marekani
Hatua hii inaashiria kurejea kwa sera kali za uhamiaji za Trump ambazo ziliondolewa na utawala wa Biden, ikionyesha msimamo mkali mpya dhidi ya wageni kuingia Marekani.