Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya Mazungumzo naMwana Anthropolojia na Mwana Primatolojia aliyetafitikuhusu Maisha ya Sokwe
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya Mazungumzo naMwana Anthropolojia na Mwana Primatolojia aliyetafitikuhusu Maisha ya Sokwe katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe mkoani Kigoma Bi. Jane Goddall, mazungumzoyaliyofanyika Ikulu ndogo Kigoma Julai 09, 2024.