Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete yupo nchini Afrika Kusini kwa ziara ya kikazi ambapo amekutana na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa,

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete yupo nchini Afrika Kusini kwa ziara ya kikazi ambapo amekutana na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, kama sehemu ya kutekeleza majukumu yake ya kikanda akiwa kama Mwenyekiti wa Jopo la Wazee la SADC, pamoja na jukumu lake jipya chini ya Umoja wa Afrika la kusaidia kutafuta suluhu ya mgogoro wa Sudan Kusini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button