Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya historia ya Kanisa kutoka kwa Padre Fredrick Mwabena OSB alipotembelea Kanisa la Mt. Benedicto, Parokia ya Peramih

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya historia ya Kanisa kutoka kwa Padre Fredrick Mwabena OSB alipotembelea Kanisa la Mt. Benedicto, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button