Raisi mwinyi kufunguwa kongamano la wazazi ccm Taifa

Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Verde, Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 22 Oktoba 2024.

Dk.Mwinyi atafungua Kongamano lilioandaliwa na Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa kumpongeza kwa kutimiza miaka minne ya Uongozi wa Serikali anayoiongoza ya Awamu ya nane.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button