Rihanna Aiweka Kando Fashion Kisa Watoto na Familia.
Aiweka Kando Fashion Kisa Watoto na Familia.
Rihanna might just be coming to
the #MetGala for dinner this year, but we know shes still going to eat down with her look.
Staa Mwanamuziki Rihanna aka #thebadgirlriri amefunguka kwamba mwaka huu kwenye tukio kubwa la mitindo ulimwenguni “Met Gala” atavaa kawaida sana tofauti na alivyozoeleka, Rihanna ameweka wazi kuwa ameamua kuvaa kawaida
kwa sababu hivi sasa ni Mama hivyo hana muda wa
kufanya mambo kama aliyofanya enzi hizo akiwa hana familia.
Watu wengi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
wamefunguka kuwa hata Rihanna akivaa kawaida
atapendeza tu na atawafunika watu wengi.
Rihannani miongoni mwa watu mashuhuri ambao huwa wanapendeza zaidi kwenye Met Gala, Je Mwaka huu Mei 6, Manhattan, Marekani kwenye Met Gala atakuja kweli na mavazi ya kawaida?
Hapo hichi ni baadhi ya picha za miaka ya nyuma aliyo udhulia Met Gala.