Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura mara baada ya kufungua Jengo la Makao ya Polisi Mkoa wa Katavilililopo Mpanda tarehe 14 Julai, 2024.