WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi leo April 30, 2025 akisikiliza changamoto za ardhi kutoka kwa wananchi mbalimbali walioziwasilisha ofisini kwake katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma.