*KITUO KINACHOFUATA, KIKOSI KAZI KINAKWENDA MASAKI-MHE.MAVUNDE*

“Kikosi kazi kitahamia masaki ipo kazi tunaenda kuifanya pia kule,Tunataka Mkoa wa Dar es Salaam huu tuuweke sawasawa,maana hapa ndiyo chanzo cha kila kitu,watu wanajua wakifika hapa ni Rahisi kusafiri wanajua jiji linawatu wengi Muingiliano wa watu wengi sana”Amesema Mhe.Mavunde.

Mhe.Antony Mavunde ameyasema hayo leo Agosti 9,2026,Wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Wizara ya madini Jijini Dar es Salaam

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button