Trump Amtaka Zelensky Aombe Radhi Hadharani.

Trump Amtaka Zelensky Aombe Radhi Hadharani.

Rais wa Marekani Donald Trump amesema anataka Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amuombe radhi hadharani ndipo atakubali kurudisha upya uhusiano kati ya Marekani na Ukraine baada ya Viongozi hao wawili juzi kuzozana mbele ya Waandishi wa Habari katika lkulu ya Marekani (White House) kitendo ambacho Trump anaamini Zelensky ameidharau Marekani.

Mtandao wa Bloomberg umeripoti kuwa Afisa mmoja wa Ulaya amevujisha taarifa kuwa baada ya malumbanonya Trump na Zelensky, Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer aliwapigia simu Viongozi hao wawili na kuwashawishi warejee mezani kumalizia maongezi lakini Trump alisema anahitaji aombwe radhi hadharani Zelensky na pia nchi ya Marekani kwa ujumla iombwe radhi kwa kilichotokea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button