Wiz Khalifa Afunguliwa Mashtaka Romania.
Wiz Khalifa Afunguliwa Mashtaka Romania.


Rapa wa Marekani #WizKhalifa Ameripotiwa Kufunguliwa mashtaka Kwa Kuvuta Bangi zilizopigwa marufuku (illegal drug possesion) mara baada ya kukutwa akivuta bangi jukwaani na maofisa usalama wakati akitumbuiza kwenye tamasha la ‘Beache Please’ lililofanyika kwenye fukwe za nchini Romania Julai Mwaka Huu 2024.
Bangi inachukuliwa kama “dawa hatari” nchini Romania Na Hivyo Wiz Yupo Hatarini Kukabiliana Na Kifungo Cha Miezi Mitatu Hadi Miaka 2 Jela Au Faini.






