Sakho Apewa Thank You Simba hadi Ufaransa

Klabu ya Simba SC imethibitisha kuwa imefikia makubaliano na klabu ya Quevilly Rouen  Metropole (QRM) ya nchini Ufaransa kwaajili kumnunua mchezaji Pape Sakho raia wa Senwgal hivyo mpaka sasa Simba imesalia na wachezaji 13 wa kigeni huku sheria ikiwahitaji kuwa na wachezaji 12.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button