TANZIA: Picha za Msanii wa Bongo Fleva Haitham Kim Afariki Dunia 01/09/23
Msanii wa bongo fleva anayejulikana kwa jina la @haithamkim amefariki dunia. Siku kadhaa nyuma zilisambaa taarifa zake kuwa alikuwa anasumbuliwa na tatizo la Mapafu. Mchana huu zimetolewa taarifa kuwa amefariki dunia.








