Yanga : Viungo vya Yanga wanaomaliza Mikataba Yao


Mkataba wa Kiungo Jonas Mkude na Yanga ni Wa Mwaka Mmoja pia una kipengele cha Kuurefusha zaidi endapo tu Benchi la Ufundi la Yanga chini ya Kocha Miguel Gamondi wataridhishwa na kiwango chake na Nidhamu yake pia.

Wakati Mkataba wa zawadi Mauya na Yanga pia ukiwa umesaliwa wa msimu mmoja (huu).

Nadhani Uongozi wa klab ya Yanga utakuwa na kazi kubwa kurudi sokoni kuangalia maingizo mapya na hii ni kutokana na Jonas Mkude, Muda mwingi kuwa nje ya Uwanja kutokana na Majeraha.

Zawad Mauya- Muda mwingi amekuwa timamu ila kiwango chake kimekuwa hakiridhishi na ameshindwa kumletea changamoto walau robo Mganda Khalid Aucho na Mudathir Yahaya katika eneo la Ukabaji. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button