Young Thug akiwa Mahakamani huku mwili wake ukiwa umenenepa tofauti na ambavyo wamemzoea
Picha hii inamuonesha rapa Young Thug akiwa Mahakamani huku mwili wake ukiwa umenenepa tofauti na ambavyo wengi wamemzoea. Rapa huyo alikamatwa na kushikiliwa katika gereza la Kitongoji cha Fulton tangu mwezi Mei 2022 kwa makosa mbali mbali ikiwemo dawa za kulevya, kukutwa na silaha pamoja kujihusisha na genge la wahuni.








