Ally Kamwe Ameshinda Percy Tau? Wapiga kura wanajua zaidi… Lakini kwangu, sidhani kama kuna mchezaji ndani ya Bara la Afrika aliyekuwa kwenye kiwango bora kwa mwaka 2023 zaidi ya Fiston Mayele
Ally Kamwe Ameshinda Percy Tau? Wapiga kura wanajua zaidi… Lakini kwangu, sidhani kama kuna mchezaji ndani ya Bara la Afrika aliyekuwa kwenye kiwango bora kwa mwaka 2023 zaidi ya Fiston Mayele
Na ziko nyakati Tunamuweka Nyuma ya Peter Shalulile kwa sababu tu, Shalulile Yuko Mamelod na Ana baadhi ya medali kwenye shingo yake..
Lakini In terms ya wanachokitoa kwenye Pitch, Bado Nitaondoka na Fiston Mayele ..
Bila kuwaza mara mbili. Predetor Sio tu Top Three .. Alistahili kuondoka na Tuzo yake Kabisa.
NB..! Mwaka 2023 Kafanya Mabalaa mengi sana.