Antony aondolewa kwenye timu ya taifa Brazili
Mchezaji wa pembeni (Winga) wa timu ya Manchester united Antony ameondolewa kwenye kikosi cha timu yake ya taifa brazil. ameondolewa kwa sababu aliyekuwa mchumba wake amemshutumu mchezaji huyo kwamba alimpiga ngumi ya kichwa na kumsababishia majeraha ambayo ilihitaji matibabu kutoka kwa daktari, pia amesema kuwa alimpiga ngumi nyingine sehemu ya titi la ziwa na kuharibu sajali yake aliyofanya ya ziwa
Ikumbukwe kuwa timu ya Manchester united pia hapo jana ilitangaza kuwa Antony hatarudi kwenye timu baada ya michezo ya kirafiki ili kupisha na kutoa muda ili uchunguzi ufanyike