Bruno Gomes ametangaza kuondoka klabuni hapo baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili.

Mchezaji wa Klabu ya Singida Fountain Gate, Bruno Gomes ametangaza kuondoka klabuni hapo baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili.

Bruno ameeleza kuwa kumekuwa na ukiukwaji wa mkataba kwa upande wa klabu, hali iliyopelekea kuvunja mkataba huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button