Diamond,Tyla na Mohamed Ndio Wanaondoza Kwa Pesa Ndefu YouTube

Diamond,Tyla na Mohamed Ndio Wasanii Wanaoingiza Pesa Ndefu YouTube

Kupitia Jarida la Social Blade linaendelea kutoa Orodha ya wasanii namna wanavyotengeneza mkwanja mrefu kwenye platform mbalimbali za kuuza muziki.

Baada ya @wizkidayo kuongoza kutengeneza mkwanja mrefu Spotify akiongiza dola milioni moja kwa mwezi
ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 2.5.

Youtube anaongoza msanii kutoka Afrika Kusini @tyla akingiza dola milioni 3.1 takribani bilioni 7.8 za Kitanzania akifuatiwa na @mohamedramadanws wa Misri ambaye
kwanza anaongoza kwa Subscriber Youtube barani Afrika akiingiza dola 2.8 sawa na bilioni 7.0 na Diamondplatnumz kutoka Tanzania akifuatia akiingiza dola milioni 2.7 ambazo ni sawa na bilioni 6.8 kwa Mwaka.

Katika orodha ya wasanii 20 Afrika Rayvanny
Harmonize  wapo nafasi ya 19 na 20, Rayvanny akiingiza dola laki tano na themanini (580k) ambazo ni sawa na Tsh bilioni 1.4 kwa mwaka na Harmonize
akiingiza dola laki tano sitini na tano (565) sawa na Tsh Ulipwaji wa Youtube unategemeana na namna msanii
anavyopata Viewers wengi kwenye nyimbo zake.

Orodha yenyewe ndio hii.
African Artistes’ Yearly Earnings on YouTube (maximumestimates)

Tyla – $3.1 million

Mohamed Ramadan -$2.8 million

Diamond Platnumz$2.7 million

Tamer Hosny – $1.9 million

Soolking -$1.7M

Burna Boy -$1.5M

Ahmed Saad -$1.2M

Kizz Daniel – $1.2M

Balti | – $1.1M

Sherine-$1M

Fally Ipupa -$1M

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button