Jay-Z na Beyonce Wakosolewa Kununua Jumba La Malibu

Jay-Z na Beyonce Wakosolewa Kununua Jumba La Malibu

Msanii wa muziki M.I.A. amewakosoa Beyoncé na mumewe Jay-Z kufuatia ununuzi wa jumba la kifahari lenye thamani ya takriban dola milioni 200 mwaka 2023.

Akiwa kwenye Instagram Live, M.J.A. alidai kwamba wamenufaika kutokana na ujinga wa watu huku akisisitiza kuwa ana jukumu la kufichua ukweli.

Nyumba ya gharama kubwa zaidi katika mji huu inamilikiwa na mwanamke mweusi, ambaye ni Beyoncé” alisema M.LA. Alikuwa akizungumzia nyumba hiyo iliyoko Malibu, iliyoundwa na mbunifu maarufu wa Kijapani Tadao Ando, mshindi wa Tuzo ya Pritzker ya mwaka 1995.

Awali, nyumba hiyo ilimilikiwa na wasanii William Bell Jr. M.lLA. alieleza kuwa Beyoncé alifanikiwa kununua jumba hilo kutokana na mashine ya mfumo wa burudani, ambayo kwa maoni yake, imenufaika na roho za watu.

Hata hivyo, hii si mara ya kwanza kwa M.I.A. kumshambulia Beyoncé. Mwezi uliopita, alimkosoa Adele kwa kumshukuru Beyoncé wakati wa hotuba ya kupokea tuzo, akidai kuwa Adele asingefanikiwa bila mchango wake kwa meneja Jonathan Dickens.

Aidha, M.I.A. aliongeza kuwa anahisi kutotambuliwa na wanawake wengine kwenye tasnia ya muziki kwa sababu ya kuwa mwanamke mweusi mwenye asili ya Asia na Maria Bell.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button