Harmonie Atoa Siri za Kajala “MAMA YAKO NYUMBA ILIKUWA KAMA CHOO”
CEO wa Konde Gang Harmonize kupitia ukurasa wake wa insta story amemjibu tena Kajala baada ya bidada huyo kuzungumza mambo kadhaa kuhusu Harmonize siku ya jana kwenye Press
Harmonize ameandika✍️
“Tafuta Bwana mzee mwenzio hata mganga wakienyeji alie zeheka zeheka acha kubishana na watoto Online na kujitia moyo!!!
Usikute anajua pengine anaweza kutana na bango la Take me back!!! Tena!!! 😂 Kinachofanya asiolewe hatukijuwi kazi kumfwata fwata Binti tuuu!!!!
Reality unaijua wewe!!!! Mme Gandanda kwenye kitanda loge, Gest za South za USD 40$ kwa siku Fyofyoko!!!!
Jiulize mara ya mwisho ulivyopelekwa na Konde ulilala wapi !!!! Bila huruma na utu wangu wa kukuachia gari ungeuza nini ufwate biashara ya Vyupi!!!! Huko South ETI CHIZIIII😂 CHIZI NDIO KAMJENGEA FENSI MAMA YAKO MZAZI KIMARA HUKO NYUMBA ILIKUWA KAMA CHO CHA SOKONIIII GETINI KWA CHIZI UMEFUKUZWA MARA NGAPIIIIII HATA SIMU UNAYOPOSTIA KANUNUA CHIZI !!!
Unakumbuka SMS yako ya mwisho uliomtumia Chizi anatunza vitu!!! GETINI KWA CHIZI UMEKUJA MARA NGAPI WALINZI WANAKUTIMUA BAADA YA KUFWATA USHAURI WA BOSS JEMBE KWAMBA SIJAMSHITAKIA CHOCHOTE SO HAWEZI NIULIZA CHOCHOTE ANAKUAMBIA UJEE MWENYEWE!!!!!
NA TIMETI ULIYOMKATIA MANAYAKE CHIZI AJE KUONGEA NA MIMI TENA BORA UNYAMAZE KAMA UNABISHA JIBU NENO MOJAAAAA NIKUFURAHISHE NIPO HAPAAAAA MIMI MTOTO KWELII UJUE!!.”