Paulah Amtishia kumchafua Harmonize
Baada ya Harmonize kueleza kuwa Paula alikuwa aatamani kuwa kwenye mahusiano na Harmonize wakati akiwa na kwenye uhusiano na mama yake (Kajala)
Paula kupitia ukurasa wake wa Insta Story ameandika✍️
Kijana endelea kuelewavuta bangi!! Sasa sikia achana na mimi yaani mm niache kabisa unanijua kichwa changu vizuri sana
Ulieamua kuchambana nae na kumzalilisha bhasi baki huko huko, Plz nitakuchafua zaidi Hii namba usiiguse kabisa!!!
Sitaki kuvunjiwa heshima siko kwenye mood kabisa leo Achana na mm Achana na mm Achana na mm!!!!!!!
Kama wewe unavuta bangi mdomo Mm navuta matakoni sasa tuliaaa!!!.”





