Israeli Yaishambulia Tena Gaza 200+ Wafariki Dunia.

Israeli Yaishambulia Tena Gaza 200+ Wafariki Dunia.

Jeshi la Israel limetupa makombora Gaza na kuuwa watu zaidi ya 200 Israel imeshambulia maeneo mbalimbali huko Gaza leo March 18,2025 kutokana na kile wanachodai kuwa Hamas wamegoma kuwaachilia baadhi ya mateka wanaowashikilia ikiwa ni makubaliano waliyoingia ili kusimamisha mapigano.

Msemaji wa Wizara ya Afya Gaza amesema kuwa zaidi ya watu 200 wameuwawa kwenye mashambulio hayo huku hofu ya kuongezeka kwa idadi ya vifo ikiwa juu zaidi

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau anawataka Hamas waachilie mateka zaidi ya 50 waliowashikilia ili kusitisha vita na ameahidi kuendelea kuishambulia Gaza mpaka pale watakapotii makubaliano hayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button