Juma Jux Balozi Rasmi wa Brand ya Oppotanzania
Jana kulikua na launch ya kampuni ya oppotanzania na uzinduzi wa simu kali zenye teknolojia ya kisasa ambapo nilipata nafasi nzuri ya kuhudhuria tukio hili la kihistoria nikiwa kama balozi rasmi wa brand ya oppotanzania
Tegemeeni kuniona kwenye muonekano mpya na simu yangu kali ya OPPO A78 ikiwa na fast charge ya 67W, muonekano wa kinyamwezi na duo camera kali inayopiga picha mpaka usiku wa manane 😀
Tembelea maduka ya oppotanzania upate A78 yako mapema