Kippre Jr Kutimka Azam fc Mwishoni mwa Msimu

Moja kati ya Mambo Magumu ambayo Azam Wanapitia ni kuweza kumbakisha Winga wao Raia wa Ivory Coast Kipre Jr ambaye ni kipenzi cha Wana Azam.

Sababu amekuwa hapati sana nafasi ya kucheza chini ya Kocha wake Mkuu Dabo.

Ni vilabu Viwili ambavyo amevipa kipaumbele Yanga Sc na Primeiro de agosto ya Angola.

Yupo tayari kupunguza mshahara wake ili ajiunge na moja ya klabu

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button