Kocha wa Yanga anarejea Algeria baada ya Miaka 10
Baada ya miaka kumi (10) Aliyekuwa kocha CR Belouzdad Miguel Gamondi anarejea tena Algeria ila safari hii akiwa kocha wa Yanga Sc ya Tanzania Gamondi amefundisha soka Africa kwa miaka 20 katika vilabu mbalimbali.”
Baadhi ya Vilabu alivyokwisha Fundisha ni.
Mamelodi Sundowns πΏπ¦
CR Belouzdad π©πΏ
Wydad Casablanca π²π¦
Esperance de Tunis πΉπ³
Etoile du Sahel πΉπ³ etc ……