Israeli:Majina ya viongozi wa Hamas wanaotafutwa

Taifa la Israel limetowa  majina kazaa ya washukiwa  na viongozi wa kundi la Hamas  ambao wanashukiwa ndio waliopanga mashambulizi dhidi ya taifa la Israel na kufanya mauwaji ya watu wasipounguwa 700

Serikali ya Israel imepania kuwasaka na kuwa huwa viongozi hao, Yahya sinwar ndio kiongozi wa hamas eneo la Gaza, Yahya alizaliwa mwaka 1962 akiwa kwenye kambi ya wakimbizi (Khan yunis ) eneo la kusini upande wa  gaza akasoma  chuo cha Islamic Univesrity iliyopo gaza

Kiongozi  wa pili nayetafutwa ni Momhammed Deif amabye yeye baada ya uvamisi alisema kwamba uvamisi huo ni kutokana na miaka 16 ya mateso na kufungiwa na wana israel , yeye ndo aliye panga na kuwashawishi zaidi ya wana mgambo Elfu moja ( 1000) kufanya mashambuli hayo , Mahammod deif amenusurika kifo mala kazaa, miaka ishirini iliyopita (20) alikatwa mguu na mkono pia mwaka 2012 alipoteza jicho, mkewe na mtoto waliuwawa kwenye mashambulizi  , Mohammed ndiye kinara wa kuwashawishi  vijana wengi kuvaa mabomu ya kujilipuwa na ndiye kiongozi wa mashimo mbali mbali ambayo wanamgambo hao uyatumia katika mapighano

Obu Obeida ni mwongeaji mkuu wa kundi hilo la hamas yeye anayeshukiwa kukamata wanajeshi wengi wa Israel na huwatumia kubadilishana na wafungwa mbalimbali wakipalestina waliokamatwa na jeshi la wanaisrael

kiongozi Mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ambaye itawawia vigumu  kwa jeshi na serikali ya Israel kumuwaa maana kwa sasa naishi uamishoni Doha qatar kwenye ofisi za Hamas

Kiongozi mwingine  serikali ya Israel wangetamani kumshika au kumuwa huyu ni kiongozi wa Islamic state kwa jina Ziyad al-Nakhalah  ambaye aanashirikiana na hamas yeye  upenda sana kuka Beirut, inasadikika ana mateka wa Israel karibia 30 ambao amesema hata muachia  hata mmoja hadi wapalestina wote waliokamatwa waachiwe huru

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button