Murtaza Mangungu Tupo Imara
Tupo imara, kila Mwanasimba atekeleze majukumu ili tufikie malengo yetu na kufikia hatua nzuri. Sandaland amekuwa mfano mzuri wa kazi anayofanya, mdhamini mkuu M-Bet, makampuni ya Mo na wadhamini wengine wote.”- Mwenyekiti wa klabu, Murtaza Mangungu.