Mzamiru aongozewa mkataba wa Mwaka mmoja
Naambiwa hapa, Klabu ya Simba imeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wao Mzamiru Yassin maarufu kama kiungo Punda, ili aendelee kukipiga Msimbazi.