Rayvanny Ashinda Tuzo tano za East Africa Arts Entertainment Awards (EAEA) @eaea_mia2024 zilizofanyika nchini Kenya.
Usiku wa kuamkia leo Msanii Raymond Shaban Mwakyusa (@rayvanny) ameweka heshima yake Afrika mashariki baada ya kushinda Tuzo tano za East Africa Arts Entertainment Awards (EAEA) @eaea_mia2024 zilizofanyika nchini Kenya.
Hii ndio list ya Tuzo alizobeba Chui 👇🏻
-Best lovers’ choice single
-Album/EP bora
-Best inspirational single
-Msanii Bora wa Kiume
-Mwandishi bora