Ronaldo Amaliza Mwendo Kwa Huzuni Kombe la Dunia

Ronaldo Amaliza Mwendo Kwa Huzuni Kombe la Dunia

Mshambuliaji nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo amefikia mwisho wa safari yake ya Kombe la Dunia baada ya timu yake kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Hispania katika mechi ya hatua ya 16 bora.

Ureno imeaga rasmi fainali za Kombe la Dunia 2026 na la mwisho kwa Ronaldo katika maisha yake ya soka baada ya kutangaza hadaharani.

Ronaldo mwenye miaka 41 jana katika mahojiano yake na moja ya chombo cha habari alinukuliwa akisema Kombe la Dunia 2026 ndio la mwisho kwake kucheza kama mchezaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button