Wanamuziki wa Tanzania Waliong’aa Boomplay

Wanamuziki wa Tanzania Waliong'aa Boomplay

BoomplayTanzania imetoa ripoti ya jinsi
nyimbo zilivyofanya vizuri mwaka 2024, ikionyesha wasanii walioteka masikio ya mashabiki.

Nyimbo Zilizosikilizwa Zaidi:
1. Mapoz – @DiamondPlatnumz
2. Hakuna Matata – @Marioo_tz
3. Nisiulizwe – @Juma_Jux
4. Bam Bam – @itsDVoice na @OfficialZuchu
5. Baridi – @RealJayMelody

Albamu Zilizosikilizwa Zaidi.
1. Therapy – Jay Melody
2. Swahili Kid- D Voice
3. Visit Bongo – @Harmonize_TZ

Wasanii5 wa Kiume Waliotamba Zaidi
1. Diamond Platnumz
2. Jay Melody
3. Marioo
4. Harmonize
5. D Voice

Wasanii5 wa Kike Waliotamba Zaidi
1. Zuchu
2. @OfficialNandy
3. @Phina _tz
4. Yammitz
5. @BellaKombo

Mastaa Wanaochipukia kwa Kasi
1. @ObbyAlpha
2. @djmushizo_utawauwa
3. @Buki_tz

Nyimbo Maalum kwa Muda Fulani
– Asubuhi: Nisiulizwe – Jux
Usiku: Baridi Jay Melody
Siku ya Wapendanao: Zawadi – Zuchu
Wimbo wa Msanii Chipukizi Uliong’ara Zaidi
– Okay – @im_Treyzah

Wimbo Upi kati ya hizi ambao uliusikiliza zaidi mwaka huu?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button