Bilionea,Sir Jim Ratcliffe kuwekeza takribani Pauni Milioni 245 katika kuboresha miundombinu ya Manchester United.

Bilionea Muingereza, Sir Jim Ratcliffe anatazamiwa kuwekeza takribani Pauni Milioni 245 katika kuboresha miundombinu ya Manchester United.

Pesa hizo zinatarajiwa kutoka mfukoni mwa bilionea huyo kama nyongeza ya Pauni bilioni 1.25 atakayotumia kununua asilimia 25 ya hisa za klabu hiyo.

Hata hivyo, mpango huo wa Sir Jim Ratcliffe unatarajiwa kuwekwa wazi ndani ya mwa mwezi huu, pindi bilionea huyo atakapokamilisha makubaliano na wamiliki wa sasa kununua asilimia 25 za United katika siku zijazo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button