Katika moja ya sajili bora Simba SC waliofanya katika dirisha dogo ni wa kiungo raia wa Senegali Babacar Sarr,anaonyesha utofauti mkubwa.

Katika moja ya sajili bora Simba SC waliofanya katika dirisha dogo ni wa kiungo raia wa Senegali Babacar Sarr,anaonyesha utofauti mkubwa.

Juzi mbele ya Al Ahly katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Babacar Sarr alifanya kazi kubwa akiwa katika eneo la kiungo la chini.

Ukiwa kiungo mkabaji hautakiwi kuwa na mambo mengi uwanjani,kabaa vyema na kuosha kwa usahihi mali na hivi ndivyo alivyofanya Babacar wa Simba SC.

Defending ✅.
Passing ✅.
Vision ✅.
Skills ✅.

Babacar Sarr anapambana na kujituma huku akionyesha mabadiliko makubwa mno,ubora wake unazidi kupanda siku baada ya siku.

Note:Kwa sasa anatakiwa kupata michezo mingi zaidi,na kuboresha ufiti haswa wa kutengeneza pumzi ya kutosha.

Ni wazi Babacar akifanikiwa katika hilo atasumbua sana na kutawala eneo la kiungo kwa upande wa Simba SC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button