Mafuta Yalivuja Kwanza alfu Helikopta ikaanguka na kulipuka

Mafuta Yalivuja Kwanza alfu Helikopta ikaanguka na kulipuka

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Zimbabwe, George Mashababe, amesema uchunguzi wa awali umeonyesha kuwa mafuta yalivuja baada ya helikopta kuanguka katika eneo la Marondera.

Mashababe amesema mafuta hayo yalivuja wakati wa helikopta hiyo kuanguka, kisha moto ukazuka na kuteketeza nyasi na mili katika eneo la ajali, jambonamablo linafanya baadhi ya miili iwe ngumu kutambuliwa hadi uchunguzi wa kitaalamu.

Hata hivyo, amesema chanzo cha kuanguka kwa helikopta hiyo bado hakijabainika, huku uchunguzi ukiendelea kubaini kilichosababisha ajali hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button