Mlizi Mkuu Anusurika Kuwepo Helikopta Moja na Chivayo Afunguka Mazito

Mlizi Mkuu Anusurika Kuwepo Helikopta Moja na Chivayo Afunguka Mazito

Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa marehemu, Wicknel Chivayo, Froster Chisi, ambaye ni miongoni mwa watu wa mwisho kumuona Chivayo akiwa hai, amesema helikopta aliyokuwa akisafiria Chivayo pamoja na watu wengine wanne ilikumbana na hali mbaya ya hewa vwakati wa safari.

Chisi, ambaye alikuwa akisafiri katika helikopta nyingine, amesema hayo wakati akihojiwa na ZBC News ambapo ameeleza alivyoshuhudia hali hiyo wakati helikopta aliyokuwa akisafiria Chivayo ikiwa angani. Helikopta aliyokuwa amepanda marehemu Chivayo ilianguka katika eneo la Marondera, karibu na Waddilove Mission, mkoani Mashonaland East nchini Zimbabwe, takribani kilomita 70 mashariki mwa mji mkuu Harare.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button