Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame kwenye Mkutano wa kitaifa 23

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button