Gadiel Nilichelewa kuondoka Simba

GADIEL: NILICHELEWA KUONDOKA SIMBA.

Katika maisha yangu ya soka kitu ambacho sitakaa nikakisahau ni kuondoka Yanga baada ya kuitumikia kwa miaka miwili na kutua Simba nikiamini nitatimiza malengo yangu.”

Anasema.. “Kuondoka Yanga halafu nilipokwenda sikufikia malengo niliyotarajia ni moja ya tukio ambao sitakaa nikalisahau kwani lilinipotezea mwelekeo. Nashukuru nimerudi kwenye mstari na naanza kujitafuta upya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button