Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mfuko wa Faraja wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mfuko wa Faraja wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 uliofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi mkoani Kilimanjaro, Julai 14,2026, ambapo IGP Wambura, aliutaka uongozi wa mfuko huo kuendelea kuimarisha uwazi na uwajibikaji kwa kutoa mrejesho kwa wanaumoja kuhusu mapato, matumizi na akiba za mfuko angalau kwa kila robo ya mwaka, sambamba na kuendelea kuusimamia na kuhuisha mfumo wa kielektroniki wa mfuko ili kuhakikisha usalama wa taarifa za wanachama na kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma.






