Mpina Afunguka Kuhusu Lowassa
MPINA AFUNGUKA HAYA KUHUSU LOWASA
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina amesema kuwa anamkumbuka Hayati Edward Lowassa wakati wa uanzilishi wa shule za Sekondari za kata kwani watanzania wengi hawakuamini zoezi hilo kwani lilikuwa ni maamuzi magumu katika falsafa yake hiyo ya Elimu
Mhe. Mpina ameyaema hayo leo Feb 12.2024 nje ya ukumbi wa Bunge wakati akizungumza na Wasafi Media
Aidha Mhe. Mpina amesema kuwa pia anamkumbuka Hayati Lowasa wakati alipokuwa Bungeni nafasi ya uwaziri Mkuu katika Hububa zake za kuhitimisha Bunge kwa namana alivyokuwa anakuja na Hotuba za kimapinduzi