Rapper blueface kupitia mtandao wa ameandika kuwa Aliyekuwa mpenzi wake chriseanrock amelala na mume wa rapper cardib

Rapper blueface kupitia mtandao wa ameandika kuwa Aliyekuwa mpenzi wake chriseanrock amelala na mume wa rapper cardib ambaye ni offset wiki kadhaa zilizopita nyuma.⁉️

Blueface amedai kuwa Chrisean kuwa na tattoo yangu wala sio sifa ni wiki chache nyuma zimepita ametoka kulala na mume wa Cardib, Nimechoka kuangaliwa na washkaji kumbe wanakuchezea.

Licha ya twitt hii ya Blueface rapper Offset amekuja kumjibu pia kupitia X na ameandika ”Sijawahi kuongea wala kumshika yule mwanamke, kusema ukweli unahitaji msaada” Haya ni majibu ya Offset 😊

Rapper blueface kupitia twitter amefunguka kuwa yeye sio baba wa mtoto wa aliyekuwa mpenzi wake chriseanrock ambaye ni chriseanjr kwakua amefanya DNA na majibu yamekuja tofauti.

Kupitia twitter/x ameeleza furaha yake na kusema amejiridhisha kwani alikua na mashaka makubwa juu ya mtoto huyo amemaliza kwa kusema hawezi kuficha kuwa hana furaha hili jambo limemfurahisha sana.

Mpaka sasa Chrisean Rock ajasema chochote lakini watu wengi wanamtetea na kusema kwanini Blueface hajaonyesha majibu mtandaoni yaweza kuwa anadanganya watu tu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button