Rapper cardib amethibitisha kuachana na mume wake ambaye ni rapper offset aliyefunga naye ndoa 2017 na wamebarikiwa kuwa na watoto wawili.
Rapper cardib amethibitisha kuachana na mume wake ambaye ni rapper offset aliyefunga naye ndoa 2017 na wamebarikiwa kuwa na watoto wawili.😊
Sababu kuu ya rapper Cardi B amedai kuwa ameshindwa vumilia mambo anayofanyiwa na Offset kwani amekua akimsaliti sana na kulala na wanawake njee. Kesi iliyozua haya yote ni ambayo rapper Blueface ameiweka wazi kuwa Offset amelala na aliyekuwa mpenzi wake na mama wa mtoto wake chriseanrock siku chache zilizopita huko twitter/x.
“Nimekuwa nikiwaza jinsi ya kuiambia Dunia kuwa nipo single kwa sasa, sina uoga lakini sijui tu jinsi Ya kuiambia Dunia. Nahisi leo dalili zimeonekana, Nilitaka kuwaambia lakini sikujua jinsi ya kuwaambia hivyo nikabadili mawazo yangu, Nataka kuianza 2024 upya, Nina shauku juu ya maisha yangu mapya, Mwanzo wangu mpya. Na nipo na furaha pia” – aliyaongea Cardi B ⁉️