Harmonize ametangaza rasmi jina la Album yake mpya, ameipa jina la VisitBongo
Harmonize ametangaza rasmi jina la Album yake mpya, ameipa jina la VisitBongo ambapo ameanika wazi kuwa itatoka Novemba 24 mwaka huu. Hii itakuwa Album yake Nne tangu aanze Muziki: Afro East, High School na Made For Us.